FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 5-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 5-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Watford FC wametandikwa mabao 5-0 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road, Watford.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na washambuliaji Msenegal, Sadio Mané dakika ya tisa, Mbrazil Roberto Firmino dakika ya 37, 52 na 90 na Mmisri Mohamed Salah dakika ya 54.
Liverpool wanafikisha pointi 18 baada ya ushindi huo kwenye mchezo wa nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi mbili zaidi ya Chelsea ambayo baadaye itamenyana na Brentford.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz