Farid Afungukia Pacha Yake na Mayele-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Farid Afungukia Pacha Yake na Mayele-Michezoni leo

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa ambaye ameonekana kuelewana vizuri na mshambuliaji wa timu hiyo, Fiston Mayele, amefunguka kwamba, pacha yao msimu huu itatisha sana.

 

Farid katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba uliochezwa Septemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, alitoa asisti kwa Mayele ambaye alifunga bao pekee lililowapa ushindi wa 1-0.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Farid amesema kuwa: “Kombinesheni yangu na Fiston ipo vizuri, nina imani tutafanya mengi mazuri msimu huu, japo timu nyingi zinazokutana na Yanga huwa zinatupania sana.”

CAREEN OSCAR, Dar

The post Farid Afungukia Pacha Yake na Mayele appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz