DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo pia kuchapwa 1-0 na Dodoma Jiji FC bao pekee la Seif Abdallah Karihe dakika ya 61 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 10 baada ya mechi tano na kupanda kileleni, ikiizidi pointi moja Yanga ambayo hata hivyo ina mechi mbili mkononi, wakati Mtibwa Sugar wanabaki na pointi mbili katika mechi tano pia.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz