DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Dk Mshindo Mbette Msolla ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Bodi ya Ligi Tanzania kwa kile kilichoelezwa hajakidhi vigezo kanuni ya 9 (7) ya vigezo vya kanuni za uchaguzi za TFF toleo la 2021.
Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, Msolla Msolla ameenguliwa kwa kutowasilisha nakala halisi za vyeti vya Taaluma, wakati Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Ally Mangungu hakuhudhuria usaili.
Mwenyekiti wa sasa Bodi, Steven Jarvis Mnguto wa Coastal Union ndio mgombea pekee aliyeitishwa kwenye nafasi hiyo kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu mkoani Kigoma, huku Mwenyekiti wa Azam FC, Nassor Idrisa ‘Father’ pekee akipitishwa kugombea nafasi ya Makamu.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz