CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Wilfried Zaha ya sita na Conor Gallagher dakika ya 88 yameipa Crystal Palace ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja Etihad.
Pamoja na ushindi huo, kikosi cha kocha Patrick Vieira kilimaliza pungufu baada ya Aymeric Laporte kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 na ushei.
Kwa kipigo hicho kwenye mechi ya 200 kazini kocha Pep Guardiola sasa anazidiwa pointi tano na vinara Chelsea baada ya wote kucheza mechi 10.
Crystal Palace yenyewe inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 10.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz