CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Chelsea imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya England baada ya kuwachapa wenyeji, Newcastle United mabao 3-0 leo Uwanja wa St. James' Park .
Mabao ya Chelsea leo yamefungwa na beki wa kimataifa wa England, Reece James mawili dakika ya 65 na 77 na kiungo Mtaliano mzaliwa wa Brazil, Jorge Luiz Frello Filho ‘Jorginho’ dakika ya 81.
Kwa ushindi huo, The Blues inafikisha pointi 25 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 10, wakati Newcastle inabaki na pointi nne za mechi 10 pia katika nafasi ya 19.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz