CAF Yawaruhusu Simba, Azam, Biashara Kuingiza Mashabiki-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CAF Yawaruhusu Simba, Azam, Biashara Kuingiza Mashabiki-Michezoni leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika kwa timu za Tanzania.

 

Kwa mujibu wa taarifa ya CAF iliyotumwa Oktoba 14, 2021 mchezo wa Kombe la Shirikisho Biashara United Mara vs Al Ahly Tripoli (Libya) imeruhusu mashabiki 5,000 wakati ule wa Jumamosi Azam FC vs Pyramids FC (Misri) imeruhusu mashabiki 2,000 na Simba kwenye mchezo wa marudiano nyumbani wataingiza mashabiki 15,000.

 

The post CAF Yawaruhusu Simba, Azam, Biashara Kuingiza Mashabiki appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz