Bwalya: Tutaamka na Kufanya Vyema-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bwalya: Tutaamka na Kufanya Vyema-Michezoni leo

KIUNGO wa Simba Larry Bwalya, amefunguka mipango yake msimu huu kwenye Ligi Kuu na Ligi ya Mabigwa, huku akisema watafanya vizuri.

Mzambia huyu huu ni msimu wake wa pili akiwa na Simba na sasa anatajwa kuwa mmoja kati ya wachezaji watakaowika zaidi msimu huu.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Mzambia huyo amesema kuwa anaamini atakuwa na msimu bora sana.

“Nimejipanga vizuri kuisaidia timu yangu kwenye Ligi ya Mabingwa na hata Ligi Kuu Bara naamini kuwa kazi hiyo naiweza

“Ligi ni ngumu ila tushaizoea tutapambana kutetea nafasi yetu kwa kuwa uwezo huo tunao,” alisema Bwalya.

REEN OSCAR, Dar es Salaam

The post Bwalya: Tutaamka na Kufanya Vyema appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz