
Mchezaji wa zamani wa Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021 Ujiji Mkoani Kigoma.
Pumzika kwa amani winga teleza Akilimali. Innalillah 🙏
The post Breaking: Simba Yahaya Akilimali Afariki Dunia appeared first on Global Publishers.
No comments:
Post a Comment