BODI YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BODI YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BODI ya Ligi ya Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mechi ya Ligi Kuu baina  ya mabingwa watetezi, Simba SC na Polisi Tanzania uliokuwa ufanyike Oktoba 20 hadi Oktoba 27.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo amesema hatua hiyo imefuatia barua ya Simba SC wakiomba mechi hiyo isogezwe kwa sababu wamekosa ndege ya kuwahi kurejea nchini baada ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy FC Jijini Gaborone nchini Botswana Jumapili.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz