BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC GABORONE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC GABORONE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameanza vyema michuano ya Afrika baada ya ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Gaborone, Botswana.
Shujaa wa Simba SC leo ni Nahodha, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, John Raphael Bocco aliyefunga mabao yote mawili dakika ya tatu na ya sita mara zote akimalizia mipira iliyookolewa baada ya kona.
Simba watahitaji kuulinda ushindi wao kwenye mechi ya marudiano Jumapili ijayo ili kwenda hatua ya makundi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz