BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Biashara United ya Mara imekwama kwenda Libya kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahli Tripoli uliopangwa kufanyika kesho Jijiki Benghazi. 
Biashara United iliyoshinda 2-0 kwenye mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Dar es Salaam imekwama kuondoka hadi leo kutokana na changamoto za usafiri wa anga na sasa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linawasiliana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mechi hiyo isogezwe mbele.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz