Benki ya NBC Yamwaga Mabilioni Kudhamini Ligi Kuu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Benki ya NBC Yamwaga Mabilioni Kudhamini Ligi Kuu-Michezoni leo

SHIRIKISHO la mpira wa miguu nchini TFF, na Benki ya NBC zimeingia makubaliano ya Mkataba wa miaka mitatu ya udhamini wa Ligi Kuu Tanzania bara na msimu huu benki hiyo itatoa kitita cha Bilioni 2.5 kabla ya makato ya VAT.

 

Akizungumza leo Octoba 6, baada ya kuingia makubaliano hayo ,Rais wa TFF,  Wallece Karia amesema wameingia makubaliano na NBC baada ya mchakato wa muda mrefu ambao ulikuwa na lengo la kuwekza vizuri katika mchezo wa mpira wa miguu, Karia amesema kuanzia sasa Ligi Kuu inatambulika NBC Tanzania Premier League.

 

Amesema wamepata udhamini kutokana na Shirikisho  kuaminiwa na taasisi mbalimbali kutokana na kuwa na Utawala bora pamoja na uadilifu katika rasilimali fedha na kuzipeleka katika maeneo yaliyoekezwa kwa maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu.

 

Ameongeza kuwa pesa hizo zinapelekwa katika Bodi ya Ligi, ambao ndio waendeshaji wa Ligi na kubwa zaidi wamedhamiria kuhakikisha pesa hiyo itatumiwa na vilabu katika kukidhi masuala ya usafiri ambao umekuwa changamoto kwa baadhi ya vilabu.

 

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi amesema wao kama wadau wa michezo wamevutiwa na maendeleo ya Ligi Kuu ambayo imekuwa na ushawishi na kufanya vizuri katika viwango vya ubora barani Afrika.

 

The post Benki ya NBC Yamwaga Mabilioni Kudhamini Ligi Kuu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz