Beckham Alamba Dili Nono Qatar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Beckham Alamba Dili Nono Qatar-Michezoni leo

Nyota wa wa zamani wa Uingereza na Man Uniyted, David Beckham amesaini dili nono la Paundi milioni 150 ambazo ni zaidi ya TSh. Bilioni 475 kuwa uso wa kombe la dunia 2022 ambalo litafanyika nchini Qatar lakini pia kuwa balozi wa utalii wa taifa hilo.

Beckham atakuwa akikunja kiasi cha Paundi milioni 15 (TSh. BILIONI 47.5) kila mwaka kwenye dili hilo la miaka 10.

 

Hata hivyo nyota huyo amepokea ukosoaji mkubwa toka kwa watu mbali mbali na wengi wakishinikiza aondolewe nafasi yake kwenye shirika la UNICEF kwa kukubali kuitangaza nchi ambayo ina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

The post Beckham Alamba Dili Nono Qatar appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz