BASI JIPYA LA AZAM KAMA ULAYA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BASI JIPYA LA AZAM KAMA ULAYA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BASI jipya la Azam FC aina ya Mercedes Benz Irizar i6S Plus, aina ya mabasi yanayotumiwa na klabu kubwa Ulaya linalokuja kuleta upekee kwenye soka ya Tanzania. 

Azam FC imekuwa klabu inayoongoza kwa huduma bora kwa timu yake, japokuwa bado haipati matokeo yanayolingana na uwekezaji wake


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz