AZAM FC YATUPWA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YATUPWA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Pyramids bao pekee la Ally Gabri Mossad dakika ya 29 usiku wa jana Uwanja wa Jeshi la Anga wa Juni 30 Jijini Cairo, Misri.
Hiyo inafuatia Azam FC kulazimishwa sare ya 0-0 na timu hiyo ya Misi katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Jumamosi iliyopita.
Sasa Pyramids itamenyana na moja ya timu zitakazotolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz