AZAM FC YATOA SARE NA PYRAMIDS CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YATOA SARE NA PYRAMIDS CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Pyramids katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
Sare hiyo inawapa mzigo mzito Azam kwenye mchezo wa marudiano Oktoba 23 Uwanja wa Jeshi la Anga wa Juni 30 Jijini Cairo nchini Misri timu hiyo ya kocha Mzambia, George Lwandamina ikihitaji ushindi au sare ya mabao ugenini ili kusonga mbele.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz