AZAM FC WAIFUATA PYRAMIDS KUMALIZA KAZI CAIRO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC WAIFUATA PYRAMIDS KUMALIZA KAZI CAIRO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIKOSI cha Azam FC kimeondoka Jumanne jioni kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Pyramids Jumamosi Uwanja wa Uwanja wa Jeshi la Anga wa Juni 30 Jijini Cairo.
Azam inatatakiwa kushinda ugenini Jumamosi ili kusonga mbele baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Mshindi wa jumla atamenyana na moja ya timu zitakazotolewa Ligi ya Mabingwa kuwania kucheza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz