Aucho Amtisha Mukoko Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Aucho Amtisha Mukoko Yanga-Michezoni leo

KIWANGO alichokionesha kiungo mpya wa Yanga raia wa Uganda, Khalid Aucho tangu atue hapo msimu huu, kimemtisha vilivyo kiungo wa timu hiyo, Mukoko Tonombe, kiasi cha kumlazimu kufanya mazoezi mara tatu kwa siku tofauti na ilivyokuwa awali

 

Aucho ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga, alicheza kwa kiwango kikubwa mechi ya Ngao ya Jamii wikiendi iliyopita wakati Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba. Katika mchezo huo, Mukoko alikosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu.

 

Spoti Xtra, limeelezwa kwamba, hasira za Mukoko kufanya mazoezi zaidi ya mara moja, zimetoka na kuhofia nafasi yake kuchukuliwa na Aucho.

 

“Kwa sasa Mukoko amelazimika kuongeza muda wa mazoezi yake, hii ni kwa sababu ya kukiona kiwango cha mrithi wake Aucho ambaye alifanya vizuri zaidi katika mchezo dhidi ya Simba.

 

“Mukoko amekuwa akipiga mazoezi asubuhi, mchana na jioni ambapo kuna program ya gym na ufukweni, kikubwa anataka kuhakikisha anaitetea namba yake kwani anafahamu akizembea tu, kocha atamuweka nje,” kilisema chanzo hicho.

MUSA MATEJA
NA LEEN ESSAU

The post Aucho Amtisha Mukoko Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz