Arsenal Yataka Kumbadili Lacazette na Jembe la Sevilla-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Arsenal Yataka Kumbadili Lacazette na Jembe la Sevilla-Michezoni leo

ARSENAL wanataka kumbadili mshambuliaji wao Alexandre Lacazette ili wao wampate Youssef En-Nesyri wa Sevilla.

Arsenal wanataka kuhakikisha kuwa wanampata staa huyo kwenye usajili wa Januari mwakani na wanaamini kuwa anaweza kuwasaidia kutwaa ubingwa msimu huu.

Kocha Mikel Arteta hana mpango na Lacazette na anaamini kuwa anaweza kumtumia vyema kumpata mshambuliaji huyo mwenye uwezo wa hali ya juu uwanjani.

Mwishoni mwa msimu huu Lacazette atakuwa amemaliza mkataba wake na Arsenal na inaonekana kuwa timu hiyo haina mpango wa kumuongezea mwingine.

Arsenal wanataka kuhakikisha kuwa wanamuondoa klabuni hapo Januari ili kuepuka kumuacha aondoke bure mwishoni mwa msimu huu.

Hata hivyo, mashabiki wengi wa Arsenal wamekuwa wakipinga suala la kuondoka kwa mshambuliaji huyo kwa kuwa amekuwa kipenzi chao cha muda mrefu.

LONDON, England

The post Arsenal Yataka Kumbadili Lacazette na Jembe la Sevilla appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz