Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABAO ya Gabriel Magalhães dakika ya tano na Emile Smith Rowe dakika ya 18 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power.
Arsenal inafikisha pointi 17 na kupanda nafasi ya tano, ikiizidi pointi tatu Leicester baada ya wote kucheza mechi 10.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>
Join Our Telegram Channel for Daily Updates
CLICK HERE
No comments:
Post a Comment