ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 LONDON -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 LONDON -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Arsenal usiku wa jana wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London.
Mabao ya kikosi cha kocha Mikel Arteta yalifungwa na Thomas Partey dakika ya 23, Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 46 na ushei na Emile Smith Rowe dakika ya 56, kabla ya Jacob Ramsey kuifungia Aston Villa la kufutia machozi dakika ya 82.
Arsenal inafikisha pointi 14 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya tisa, wakati Aston Villa inabaki na pointi zake 10 katika nafasi ya 13 kufuatia wote kucheza mechi tisa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz