ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Adam Paul Salamba amejiunga na klabu ya JS Saoura ya Algeria kutoka Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi.
Salamba ametambulishwa wiki hii na tayari ameanza kazi katika klabu hiyo hiyo mpya yenye kumbukumbu nzuri za huduma ya Mtanzania mwingine, Thomas Emmanuel Ulimwengu.
Salamba aliibukia Stand United mwaka 2016 kabla ya kwenda Lipuli FC mwaka 2017, Simba SC 2018, Al-Jahra SC ya Kuwait 2019 na Namungo FC 2020.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz