Yanga Yatoa Kauli Baada ya Kupoteza Mechi na Wanigeria-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yatoa Kauli Baada ya Kupoteza Mechi na Wanigeria-Michezoni leo

BAADA ya kikosi cha Yanga kupoteza katika mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi kuwa bado una nafasi ya kupata matokeo katika mchezo wa marudio.

 

Katika mchezo uliochezwa jana Septemba 12, baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 0-1 Yanga jambo lililowapa maumivu mashabiki pamoja na Watanzania kiujumla.

 

Bao pekee la ushindi lilipachikwa na Moses kwa kichwa akiwa ndani ya 18 baada ya kipa namba moja wa Yanga, Diarra Djigui kutoka kidogo katika eneo lake.

 

Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa kuna dakika 90 za kupambana.

“Tunazo dakika 90 nyingine za kupambania timu yetu, chini ya jua hili hakuna kisichowezekana. Tupeane pole kwa matokeo lakini tusikate tamaa,”

 

Katika mchezo wa jana Septemba 12 rekodi zinaonyesha kuwa Yanga ilipiga jumla ya kona 7 huku Rivers United wakipiga kona moja na Yanga ilipiga jumla ya mashuti 13 na ni moja lililenga lango huku Rivers United ikipiga mashuti 11 na ni mawili yalilenga lango.

 

Kibarua kikubwa ni kwenda kushinda mabao zaidi ya mawili kwa sababu wapinzani wao wanafaida ya bao la ugenini.

 

Mchezo wao wa marudi unatarajiwa kuchezwa Septemba 18 nchini Nigeria na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa hakuna mwenye uhakika wa kusonga mbele kwa wakati huu mpaka dakika hizo 90 zitakapomeguka.

The post Yanga Yatoa Kauli Baada ya Kupoteza Mechi na Wanigeria appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz