YANGA YAICHAPA DTB 3-1 KIGAMBONI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA YAICHAPA DTB 3-1 KIGAMBONI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KATIKA kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii utakaofanyika Jumamosi, Yanga jana ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Daraja la Kwanza, DTB na kuibuka na ushindi wa 3-1.
Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam na mabao ya Yanga yalifungwa na beki Bryson Raphael na washambuliaji Yussuf Athumani na Mkongo, Fiston Kalala Mayele.
Yanga watamenyana na Simba Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ngao ya Jamii kuanzia Saa 1:00 usiku.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz