YANGA SC WAREJEA NYUMBANI KINYONGE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA SC WAREJEA NYUMBANI KINYONGE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIKOSI cha
 Yanga kimarejea Alfajiri ya leo Dares Salaam baada ya ya kuchapwa 1-0 na wenyeji Rivers United jana katika mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Jijini Port Harcourt, Nigeria.


Yanga imeaga mashindano hayo kwa kichapo cha jumla cha 2-0 kufuatia kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam – na sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Simba Jumamosi Uwanja Benjamin Mkapa, Jijini.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz