Yanga Dhidi ya Rivers Kuchezwa Bila Mashabiki-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Dhidi ya Rivers Kuchezwa Bila Mashabiki-Michezoni leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa mechi yao ya kesho Jumapili Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria mashabiki hawataruhusiwa kuhudhuria mtanange huo utakaochezwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini  Dar es salaam.
 
Taarifa hiyo imebainisha kuwa CAF imezuia mashabiki kwa sababu Tanzania bado haijafikia viwango vya shirikisho hilo juu ya protokali za usimamizi wa ugonjwa wa Uviko-19.

The post Yanga Dhidi ya Rivers Kuchezwa Bila Mashabiki appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz