Watatu Yanga Kuikosa Rivers-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Watatu Yanga Kuikosa Rivers-Michezoni leo

Wakati Yanga wakijiandaa na mchezo huo, taarifa zilizopo ni kwamba wanatarajia kuwakosa wachezaji wao watatu ambao ni Mapinduzi Balama, Yassin Mustapha na David Bryson ambao wote wanasumbuliwa na majeraha.

 

“Juzi wachezaji wetu walipewa mapumziko ambayo yaliisha juzi Jumatatu) na jana Jumanne wamerejea kambini.“

 

Katika kuelekea mchezo huo tunatarajia kuwakosa wachezaji wetu watatu ambao wote wana majeraha. Kuna Yassin na Balama ambao wanafanya mazoezi binafsi na Bryson aliyeanza mazoezi ya jumla na wenzake lakini hana fitinesi ya kutosha, hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chetu,” alisema Saleh.

 

RIVERS WATUA
Mchana wa juzi, kikosi cha Rivers United kiliwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar tayari kwa kukabiliana na Yanga Jumapili hii.

WILBERT MOLANDI, DAR

The post Watatu Yanga Kuikosa Rivers appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz