Usyk Ampiga Anthony Joshua-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Usyk Ampiga Anthony Joshua-Michezoni leo

BONDIA wa Ukraine Oleksander Usyk (34) ameshinda pambano la Ubingwa wa Dunia uzito wa juu (heavyweight)  na kutwaa mikanda ya WBA, WBO, IBF na IBO kwa kumpiga kwa pointi bondia Anthony Joshua (31) wa England katika pambano la raundi ya  12 lilochezwa katika uwanja wa Tottenham London England, usiku wa kuamkia leo.

Majaji wote watatu walimpa Usyk ushindi kwa  pointi 117-112, 116-112, 115-113 , baada ya kichapo hicho Joshua amepoteza mikanda yote minne aliyokuwa anaishikilia.

The post Usyk Ampiga Anthony Joshua appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz