TP MAZEMBE WAWASILI KUIVAA SIMBA KESHO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TP MAZEMBE WAWASILI KUIVAA SIMBA KESHO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA mara nne Afrika, TP Mazembe wamewasili mchana wa leo Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Simba SC kwenye tamasha la Simba Day kesho jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz