TAJIRI GHALIB NA MAKOCHA YANGA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TAJIRI GHALIB NA MAKOCHA YANGA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MFADHILI Mkuu wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed akipata chakula na viongozi na Makocha wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, Mkongo Mwinyi Zahera na Mrundi Cedric Kaze kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Yanga kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Mechi hiyo itachezeshwa na refa chipukizi, Ramadhani Kayoko atakayesaidiwa na Frank Kombe na Soud Lila wote wa Dar es Salaam.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz