TAIFA STARS YALAZIMISHA SARE 1-1 NA DRC KWAO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TAIFA STARS YALAZIMISHA SARE 1-1 NA DRC KWAO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TANZANIA imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kwanza wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia mwakani nchini Qatar.
Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi, wenyeji The Leopard 'Chui' walitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Kuwait SC ya Kuwait, DieudonnΓ© "Dieumerci" Mbokani Bezua dakika ya 23, kabla ya kiungo mshambuliaji wa Wydad Athletic ya Morocco, Simon Happygod Msuva kuisawazishia Taifa Stars dakika ya 35.
Kipindi cha pili kilikuwa cha mashambulizi ya pande zote mbili, lakini ngome za timu zote mbili zikasimama imara kutoruhusu mabao zaidi.
Mechi nyingine ya Kundi J inaendelea hivi sasa baina ya wenyeji, Madagascar na Benin. Mechi zijazo Septemba 7 Tanzania watakuwa wenyeji wa Madagascar na Benin watakuwa wenyeji wa DRC.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz