Taifa Stars Yagawana Pointi na DR Congo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Taifa Stars Yagawana Pointi na DR Congo-Michezoni leo

TIMU ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania, Taifa Stars ikiwa ugenini imefanikiwa kugawana pointi na timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo DRC  baada ya kupata sare ya 1-1, kwenye mchezo wa kufuzu kwa fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Qatar 2022.

Mchezo huo umepigwa leo Septemba 2, kwenye uwanja wa klabu T.P Mazembe katika mji wa  Lubumbashi, DR Congo walikuwa wakwanza kutikisa nyavu za Stars kupitia kwa Mbokani DieudonnΓ© dakika ya 23’ ya mchezo.

Baada ya goli hilo Stars walicharuka na kufanikiwa kusawazishwa kupitia kwa  nyota wa Wydad, Casablanca Simon Msuva dakika ya 36.

Kwa matokeo hayo Stars stars ina alama moja sawa ana DR Congo huku Benin na Madagascar wakipepetana usiku huu kwenye mchezo wa kundi J.

The post Taifa Stars Yagawana Pointi na DR Congo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz