‘Surprise’ ya Okwi Yaamsha Shangwe Dimba la Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

‘Surprise’ ya Okwi Yaamsha Shangwe Dimba la Mkapa-Michezoni leo

‘Surprise’ ya mchezaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi iliamsha shangwe kwa maelfu waliofurika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Okwi leo Septemba 19, kwenye Tamasha la Simba Day

 

Okwi pia amedokeza  kuwa leo amekuja kama mshabiki kwa mwaliko maalum wa Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji.

 

Mchezaji huo kipenzi cha wana-simba, amegusia kuhusu kurejea msimbazi na kusema dirisha dogo haliko mbali chochote kinaweza kutokea, simba itajitupa uwanjani kumenyena na T.P Mazembe ya DRC kwenye Mchezo wa kirafiki ikiwa leo ni Simba Day.

The post ‘Surprise’ ya Okwi Yaamsha Shangwe Dimba la Mkapa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz