Simba Watangaza Viingilio Vya Simba Day 2021 – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Watangaza Viingilio Vya Simba Day 2021 – Video-Michezoni leo

KLABU ya Simba SC, Ezekiel Kimwaga leo Septemba 3, 2021 anaongea na wanahabari katika mkutano unafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Kimwaga, ametangaza bei za viingilio kwenye Simba Day itakayofanyika mwezi huu Septemba 19, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar.

Platinum TZS 200,000, VIP TZS 30,000, VIP B&C TZS 20,000 na Mzunguko ni TZS 5,000.

“Slogan ya Simba Day 2021 ni One Team, One Dream tukimaliza na Asubuhi Tu, Twendeni Wenye Nchi.”

“Maombi ya jezi kutoka kwa mashabiki wa Simba yamekuwa makubwa sana na uongozi umeona ni vyema kuwasikiliza. Natangaza rasmi kwamba kuanzia sasa jezi mpya za Simba zinapatikana sasa kwenye maduka ya Vunja Bei nchi nzima.”

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

The post Simba Watangaza Viingilio Vya Simba Day 2021 – Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz