SIMBA QUEENS MIKONO MITUPU KOMBE LA SAMIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA QUEENS MIKONO MITUPU KOMBE LA SAMIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Simba Queens imechapwa mabao 2-1 na Lady Doves WFC ya Uganda katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa wanawake, maarufu kama CECAFA Women's Samia Cup mchana wa leo Uwanja wa Moi Kasarani Jijini nchini Kenya.
Kwa kumaliza nafasi ya tatu, Lady Doves watapata dola za Kimarakani 10,000 wakati bingwa atapata dola 30,000 na mshindi wa pili dola 20,000 sehemu ya dola 100,000 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz