SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC watamenyana na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Septemba 19 kwenye tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
Huo utakuwa mchezo wa tatu wa kirafiki baada ya awali kutoka sare mara mbili katika kambi yake ya Jijini Rabat nchini Morocco 2-2 na FAR Rabat na 1-1 na Khourigba.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz