Shabiki Simba Avalishwa Dela, Khanga & Wigi, Apakwa Wanja-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Shabiki Simba Avalishwa Dela, Khanga & Wigi, Apakwa Wanja-Michezoni leo

AHADI ni neni, ukiahidi lazima ulipe, utani wa Simba na Yanga.. Shabiki wa Simba katika Kijiwe cha Tatedo Mbezi, Dar es Salaam ametimiza ahadi yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya kukubali kupakwa wanja, lipsticks na kumvalisha dera na hatimaye kumtembeza mtaani kama inavyoonekana kwenye picha.

 

 

Hii ilikuwa ni ahadi aliyoitoa kwa mashabiki wenzake wa Yanga kuwa iwapo Yanga atashinda katika mechi ya Watani wao  wa Jadi dhidi ya Simba (ambayo ndiyo timu anayoishabikia) basi apakwe wanja, lispick, avalishwe khanga, wingi na dela.

 

Mechi hiyo iliyopigwa juzi Jumamosi, Septemba 25, 2021 katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam ilimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 huku Yanga wakinyakua Ngao ya Jamii.

 

The post Shabiki Simba Avalishwa Dela, Khanga & Wigi, Apakwa Wanja appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz