Samatta Arejea Ubelgiji, Royal Antwerp-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Samatta Arejea Ubelgiji, Royal Antwerp-Michezoni leo

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesajiliwa kwa mkopo wa msimu mzima na Klabu ya Ubelgiji, Royal Antwerp FC akitokea Klabu ya Uturuki, Fenerbahce

Samatta amewahi kucheza katika Ligi Kuu ya Ubelgiji akiwa na Klabu ya KRC Genk na kuisaidia kuwa Bingwa miaka miwili iliyopita kisha kuhamia Aston Villa na kisha kwenda Fenerbahçe

The post Samatta Arejea Ubelgiji, Royal Antwerp appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz