SAMATTA AFUNGA UEFA, ANTWERP YALALA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SAMATTA AFUNGA UEFA, ANTWERP YALALA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ameifungia timu yake, Royal Antwerp ikichapwa 2-1  na wenyeji, Olympiakos katika mchezo wa Kundi D UEFA Europa League  Uwanja wa Georgios KaraiskΓ‘ki Jijini Piraeus, Ugiriki.
Samatta alifunga bao ambalo lilikuwa la kusawazisha dakika ya 74 akimalizia pasi ya mshambuliaji mwenzake, Mbelgiji Benson Manuel Hedilazio baada ya mshambuliaji Mmorocco, Youssef
El-Arabi kuwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 52 na kabla ya  beki wa kimataifa wa Moldova, Oleg Reabciuk kufunga la ushindi dakika ya 87.


Hizo zilikuwa mechi za kwanza za makundi UEFA Europa League msimu huu na Royal Antwerp itashuka tena dimbani Septemba 30 kuwakabili Eintracht Frankfurt ya Ujerumani nyumbani, Uwanja wa Bosuilstadion mjini Deurne.
Kabla ya hapo watakuwa na mechi tatu za ligi ya nyumbani dhidi ya RFC Seraing Jumapili, Genk Septemba 22 na Union Saint-Gilloise Septemba 26.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz