Safari Ya Kushiriki Kombe La Dunia 2022 Inaanza Sasa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Safari Ya Kushiriki Kombe La Dunia 2022 Inaanza Sasa-Michezoni leo

Ni siku 10 za kuburudika na soka la Kimataifa. Timu za Taifa kuingia viwanjani kupambania nafasi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022 pale Qatar. Hapatoshi!! Meridianbet tumekuwekea michongo kwa mpangilio huu;

 

Alhamisi hii, Sweden watachuana na Uhispania. Hizi ni timu 2 ambazo zimetoka kufanya vizuri kwenye mashindano ya Euro2020. Victor Lindelof kuiongoza Sweden kwa mara ya kwanza kama nahodha wa timu hiyo, Uhispania kuendelea walipoishia. Vijana wa Luis Henrique walionesha maana halisi ya mpira wa kihispania.

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.75 kwa Hispania.

 

Ijumaa, Switzerland uso kwa uso dhidi ya Italia. Kama timu hizi zitaonesha uwezo waliouonesha kwenye mashindano ya Euro2020, basi huu sio mchezo wa kupepesa jicho pembeni! Switzerland ni kama hawakua na bahati kwenye mashindano ya Euro, lakini walionesha upinzani mkubwa dhidi ya kila timu iliyokutana nayo. Italia haikupewa nafasi kubwa mwanzoni lakini kufumba na kufumbua – Hawa ndio mabingwa wa Euro 2020. Ni dhahiri timu zote zitaingia uwanjani kupambana kwa kila namna. Ifuate Odds ya 1.95 kwa Italia ndani ya Meridianbet.

Jumamosi, timu bora duniani – Ubelgiji kuchuana na Czech Republic. Unamkumbuka Patrik Schick? Huu ndio ulikua mwamba wa Czech kwenye mashindano ya Euro 2020 na alitwaa tuzo ya goli bora la mashindano hayo. Upande wa pili, Kevin De Bryune na Romelu Lukaku kuiongoza Ubelgiji ambayo hawakufanya vizuri kwenye mashindano ya Euro2020 lakini, hii ni tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 ambapo walimaliza kama washindi wa 3 mwaka 2018. Mchongo upo Meridianbet, ifuate Odds ya 1.36 kwa Ubelgiji.

 

Ni kama marudio ya Copa Amerika Jumapili hii – Brazili vs Argentina!! Miamba miwili ya soka la Amerika ya Kusini kuiwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia. Huu ni mchezo ambao unazikutanisha timu mbili zilizotoka kupambania Kombe la Copa Amerika ambapo Lionel Messi alifanikiwa kutwaa taji lake la kwanza akiwa na timu ya Taifa. Ni nafasi kwa Brazili kulipa kisasi au pengine Argentina kuendeleza ubabe. Yote yanawezekana, hapa Neymar Jr, kule Lionel Messi. Yote 9, 10 ni Odds ya 1.28 kwa Brazili ndani ya Meridianbet

 

The post Safari Ya Kushiriki Kombe La Dunia 2022 Inaanza Sasa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz