RONALDO AANZA MAZOEZI MAN UNITED-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RONALDO AANZA MAZOEZI MAN UNITED-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na klabu yake, Manchester United Uwanja wa Carrington kufuatia kukamilisha uhamisho wa kurejea baada ya miaka 12 tangu aondoke.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 36 amejiunga tena na Man United kwa ada ya Pauni Milioni 19.8 kutoka Juventus kufuatia kuichezea Real Madrid tangu aondoke England
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz