Ratiba ya Mazishi ya Zakaria Hans Poppe-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ratiba ya Mazishi ya Zakaria Hans Poppe-Michezoni leo

Mwili wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo, Zakaria Hans Pope utaagwa kesho Jumatatu Septemba 13, 2021 katika ukumbi wa kalimjee Dar es Salaam.

Jumanne, Septemba 14, 2021 asubuhi familia kutoa heshima za mwisho nyumbani Ununio na mchana mwili wa marehemu kusafirishwa kwenda Iringa Mjini.

Mazishi yatafanyika Jumatano, Septemba 15, 2021 Kihesa Mkimbizi mkoani Iringa

Zakaria Hans Pope  alifariki dunia jioni ya Ijumaa, Septemba 10, 2021 katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

The post Ratiba ya Mazishi ya Zakaria Hans Poppe appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz