Ramsdale Amtisha Mikel Arteta Arsenal-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ramsdale Amtisha Mikel Arteta Arsenal-Michezoni leo

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa anaweza kumtumia Aaron Ramsdale kama kipa namba moja wa timu hiyo.

Juzi Aaron alifanikiwa kuitumikia Arsenal kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England ambapo timu yake ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norwich City.

 

Kocha huyo amesema inawezekana pia akaamua kuendelea kumtumia Bernd Leno kwa kuwa atakachokuwa anakiangalia kwa sasa ni kiwango cha mchezaji husika.

Leno amekuwa kipa namba moja kwenye kikosi cha Arsenal kuanzia mwaka 2018 na sasa ndiyo anaonekana kupata mp­inzani.

 

“Huyu ni kipa bora, siyo kwa jinsi anavyodaka tu bali hata jinsi ambavyo amekuwa akielekezana na mabeki wake.

“Nafikiri ni mmoja kati ya makipa bora England na anaweza kuwa kipa namba moja hapa, ishu ya nani anaweza kuwa bora inaanzia mazoezini.

 

“Mimi nitakuwa namchukua kipa wa kucheza kulingana na jinsi ambavyo watakuwa wakifanya kwenye mazoezi, nafikiri huyu ni mmoja kati ya wale ambao wanaweza kuchukua nafasi hiyo.

“Tuna makipa wawili bora sana, nafikiri tunaweza kufanya vizuri sana msimu huu kama tutaendelea kujituma na kuendelea kupunguza makosa kila siku “,alisema Arteta.

Arsenal wapo kwe­nye presha kubwa wakiwa wame­shapoteza michezo mitatu mfu­lulizo ya mwan­zoni mwa msimu huu.

MUNICH, Ujerumani

The post Ramsdale Amtisha Mikel Arteta Arsenal appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz