RAIS SAMIA AITENGA WIZARA YA MICHEZO NA HABARI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RAIS SAMIA AITENGA WIZARA YA MICHEZO NA HABARI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameondoa kitengo cha Habari katika Wizara ya Michezo na kukihamishia Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Sasa kutakuwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari chini ya Waziri Dk Ashatu Kijaji na Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo chini ya Waziri Innocent Bashungwa.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz