Pele: Ninaendelea Vizuri-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Pele: Ninaendelea Vizuri-Michezoni leo

Gwiji wa Soka wa Brazil, Pele (miaka 80) ameandika kwenye ukurasa wa Instagram kuwa anaendelea vizuri na anawashukuru wanafamilia wote kwa upendo wanaomuonesha na kumfanya kuwa mwenye kutabasamu kila siku.

 

Pele ameyasema hayo leo akiwa chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’ kwenye Hospitali ya Sao Paulo Albert Einstein nchini Brazil kwa uangalizi zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji 2a kuondoa uvimbe kwenye utumbo wake mkubwa siku chache zilizopita.

 

Pele amekuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo tokea Agosti 31 mwaka huu baada ya kugundilika pia ana shida ya upumuaji ambayo kwasasa imetibiwa.

The post Pele: Ninaendelea Vizuri appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz