PACQUIAO AJIUZULU NGUMI BAADA YA MIAKA 26-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PACQUIAO AJIUZULU NGUMI BAADA YA MIAKA 26-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
GWIJI  wa ngumi, Manny Pacquiao ametangaza kustaafu mchezo huo baada ya miaka 26 ulingoni akicheza mapambano 72 na kushinda mataji 12.
Hatua hiyo inakuja mwezi mmoja tangu apoteze pambano mbele ya Mcuba, Yordenis Ugas kwa pointi Jijini Nevada Agosti 21, mwaka huu.
Pacquiao ambaye ameshinda mapambano 62, kati ya hayo 39 kwa Knockouts (KO), akipigwa nane na kutoa sare mawili ni bondia pekee kihistoria kushinda mataji ya dunia katika madaraja nane tofauti.


Seneta huyo wa Ufilipino, sasa anatarajiwa kuelekeza nguvu zake zaidi kwenye siasa baada ya kutangaza kuwania Urais wa nchi yake mwakani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz