Oscar: Mugalu Anaichelewesha Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Oscar: Mugalu Anaichelewesha Simba-Michezoni leo

MCHAMBUZI maarufu wa soka nchini, Oscar Oscar amesema; “Chris Mugalu ni kama anaichelewesha Simba SC ni aina ya mchezaji anaehitaji nafasi kama tano kupata goli moja.

 

Anaweza akawa na sifa nyingine zote ila shida yake ndio hiyo, Simba inachelewa kwenye mechi nyingi sana kwa kumtegemea Mugalu,” amesema Oscar Oscar wakati akijibu swali la Fatma Likwata aliyetaka kujua kama ni wakati sasa wa kuendelea kumuamini Kagere kwa kuwa Mugalu anaoesha Ku-Struggle.

 

Mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga, Mugalu alipata nafasi nyingi za wazi lakini hakuweza kuzitumia vizuri kupata matokeo na mwisho wa siku Yanga wakaibuka na ushindi wa bao 1-0.

The post Oscar: Mugalu Anaichelewesha Simba appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz