NAMUNGO YAWEKA KAMBI KARATU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NAMUNGO YAWEKA KAMBI KARATU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 

TIMU ya Namungo FC imeweka kambi wilayani Karatu mkoani Arusha kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Namungo FC inayofundishwa na kochw Mzanzibari, Hemee Suleiman 'Morocco' imeweka katika katika majengo ya akademi ya Black Rhino yenye Uwanja mzuri wa mazoezi na vifaa vingine vya kisasa.
Namungo FC yenye maskani yake Ruangwa mkoani Lindi imeboresha kikosi chake kwa kiasi kikubwa kwa kusajili wachezaji kadhaa wenye uzoefu wakiwemo waliowahi kucheza klabu za Azam, Simba na Yanga.


Hao ni pamoja na kipa David Kisu, washambuliaji Mzambia Obrey Chirwa kutoka Azam FC na Mkongo David Molinga 'Falcao' aliyewahi kucheza Yanga SC.
Wengine wapya ni Abdulmalik Zecharia, Abdulaziz Makame, Suleiman Bwenzi, Daniel Joram, Mohamed Issa 'Banka', Emmanuel Charles, Jacob Massawe,  Vincent Philip, Baraka Mtuwi na Mwisho Yangson.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz