Namungo Inajifua Balaa Huko Karatu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Namungo Inajifua Balaa Huko Karatu-Michezoni leo

KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefurahishwa na maendeleo ya kambi ya timu iyo ambayo wameweka huko Karatu mkoani Arusha wakijiandaa na msimu ujao.


Namungo imeweka kambi
ya siku 14 Karatu katika kituo cha michezo cha Black Rhino kutokana na kuvutiwa na hali ya utulivu uliopo eneo hilo ambapo wanaamini wachezaji watapata wakati mzuri wa kujifua.

Morocco alisema: “Tunamshukuru Mungu wachezaji wote ni wazima na tunaendelea na programu zetu, baada ya siku 14 kuisha tutarudi nyumbani lakini tukiwa tunarudi tutapita njiani kucheza mechi ya
kirafiki.


“Kwa sasa tunaangalia
jinsi ya kujenga muunganiko mzuri wa timu ili kuhakikisha tuna kikosi bora zaidi.

Stori na Lidia Kaaya na Michael Yusuph

The post Namungo Inajifua Balaa Huko Karatu appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz